Moto wa nyika ambao umekuwa vigumu kudhibitiwa unateketeza sehemu za Los Angeles, na kusababisha vifo vya takriban watu watano, kuharibu mamia ya majumba, na kulazimisha zaidi ya watu 130,000 ...
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) kumeshuhudiwa mzozo na ukosefu wa utulivu kwa muda usiokuwa chini ya miongo mitatu. Hata hivyo katika muongo mmoja uliopita mapigano makali ...