Tamasha la Kitaifa la Maua ya Mcheri hufanyika kila mwaka huko jijini Washington nchini Marekani. Maelfu ya miti ya michery imechanua kikamilifu, na kuvutia umati wa watu kusherehekea uhusiano wa ...