Moja ya habari tunayoangazia ni mkutano wa kampeni wa zamani nchini Uganda uliohusishwa na maandamano ya Kizza Besigye mwaka ...
Waziri huyo amesema, kwa mujibu wa uamuzi wa kikao cha Baraza la Mawaziri, Sudan imeamua kusitisha uingizwaji wa bidhaa kutoka Kenya, kupitia mipaka ya ardhi na angani.