Ugonjwa wa saratani ni miongoni mwa magonjwa yanayoleta madhara makubwa kiafya na hata kusababisha vifo kwa mamilioni ya watu ulimwenguni. Kwa wengi, kugundulika na saratani ni kama hukumu ya kifo ...