Katika jiji lenye mwendo wa kasi kama London, watu wengi huamka na kuanza siku yao kwa kuoga bila kufikiria sana. Hata hivyo, kwa maelfu ya watu wasio na makazi, kuoga ni anasa isiyopatikana ...
Kiongozi wa kundi la RSF nchini Sudan, amethibitisha wapiganaji wake kujiondoa toka kwenye mji mkuu wa Khartoum, ambao kwa sasa uko chini ya udhibiti wa jeshi la Serikali. Tangazo la Jenerali ...
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeielekeza Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara kuhakikisha ujenzi wa hospitali ya mji huo unakamilika kwa wakati ili ...
Neno "Mji wa Roketi" linatumiwa na Walinzi wa Mapinduzi kumaanisha kambi zao za chini ya ardhi inayohifadhi makombora. Kambi hizi ziko katika mahandaki iliyo chini ya ardhi, inayojengwa katika ...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imebaini kasoro tano katika mfumo wa ukusanyaji na uwasilishaji wa kodi ya zuio katika halmashauri. Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Crispin Chalamila ...
MKUU Majeshi wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba, ambaye ni mtoto wa Rais Museveni, amesema kuwa vikosi vyake vitadhibiti mji wa Kisangani, iwapo waasi wa M23 watachelewa kuuteka mji huo. Kupitia mtandao ...
Goma. Kundi la waasi wa M23 limetangaza kuutwaa Mji wa Walikale nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kuvifurusha vikosi vya Jeshi la Serikali ya nchi hiyo (FARDC). Taarifa ya M23 ...
Kufuatia kutekwa tena kwa ikulu ya rais mjini Khartoum, jeshi limeendelea kusonga mbele katika mji mkuu siku ya Jumamosi, Machi 22, 2025. Majengo mengine kadhaa muhimu yaliangukia mikononi mwa ...
baada ya kukutana na Rais Alexander Lukashenko wa Belarus katika mji mkuu wa Belarus, Minsk. Jeshi lilifanya mapinduzi mwaka 2021, likidai kwamba kulikuwa na kasoro katika uchaguzi mkuu ...
Maeneo yaliyoathiriwa zaidi ni Bago, Magway, Mandalay, maeneo ya kaskazini-mashariki ya Shan na Sagaing pamoja na mji mkuu, Naypyitaw. Mawasiliano ya intaneti yamekumbwa na zahma kwenye mji wa ...
Moshi. Wananchi wa mji mdogo wa Himo, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro waliokuwa wakitembea umbali mrefu na kutumia gharama kubwa kufuata huduma ya X-Ray sasa imemalizika baada ya Serikali kupeleka ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果