Mchungaji wa kanisa moja mjini Mombasa pwani ya Kenya amezua gumzo baada ya tukio la kujikata koo baada ya kumdunga kisu mke wake mara kadhaa wakati wa ibada ya Jumapili. Bwana Elisha Misiko ...