资讯

Halmashauri ya jiji la Tanga, imetajwa kuongoza kwa usafi kwa kupata asilimia 83.2 ya alama zote. Ikishindanishwa na halmashauri sita za majiji zilizopo nchini.
Serikali imetaja faida nne zitakazopatikana kwa Tanzania kushiriki maonesho ya biashara ya EXPO yatakayoanza Aprili 12 hadi ...
Ulaji wa vyakula vyenye wanga kwa wingi pamoja na vyakula vitamu na vizuri kwa macho kama Burger, Pizza na Chips Mayai vina ...
Doreen Kimbi alizua gumzo Tanzania baada ya kufunga ndoa kutokana na utofauti wa umri wa miaka 40 kati yake na mume wake huyo.
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi katika Mikoa ya Kilimanjaro, Pwani na Mara kama Kamanda wa Polisi wa Mkoa (RPC), Absalom Mwakyoma ...
Wanariadha wa kimataifa, Failuna Abdi Matanga na Angelina John, wamejitosa kuwa mabalozi wa mbio za Fistula Marathon ...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) imeendelea kung’ara baada ya kushinda tuzo mbili za umahiri zilizotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa mwaka ...
Na Mwandishi Wetu Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imepata tuzo ya ushindi wa utoaji wa huduma bora za afya kwa mwaka 2025 katika kundi ...