资讯

Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, Shilingi ya Tanzania ilishuka thamani kwa asilimia 3.6. Lakini kuanzia Julai hadi ...
Mkurugenzi Mtendaji wa MUWSA Mhandisi Kija Limbe. Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Moshi Mjini imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Shafii Kondo (56) mkazi wa mtaa wa Kiusa kwa kosa la kuiba mita za m ...
Halmashauri ya jiji la Tanga, imetajwa kuongoza kwa usafi kwa kupata asilimia 83.2 ya alama zote. Ikishindanishwa na halmashauri sita za majiji zilizopo nchini.
Ikiwa imepita takribani miaka miwili tangu Rais Samia Suluhu Hassan azindue filamu ya The Royal Tour, viongozi wa hifadhi tatu kubwa nchini wanatamani kuona filamu hiyo, au nyingine ikifanyika.
WATUMIAJI wa Barabara Kuu ya Himo Njia Panda – Moshi – KIA Njia Panda wanataarifiwa kwamba kumetokea uharibifu wa barabara ...
Ulaji wa vyakula vyenye wanga kwa wingi pamoja na vyakula vitamu na vizuri kwa macho kama Burger, Pizza na Chips Mayai vina ...
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi katika Mikoa ya Kilimanjaro, Pwani na Mara kama Kamanda wa Polisi wa Mkoa (RPC), Absalom Mwakyoma ...
Hali si shwari kwa Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, Dk. Charles Kimei (CCM) baada ya baadhi ya wananchi wa jimbo ...
Walimu wakuu 60 na wapishi katika shule za msingi Halmashauri ya Manispaa Temeke wamejengewa uwezo kuhusu matumizi ya nishati ...
Wanariadha wa kimataifa, Failuna Abdi Matanga na Angelina John, wamejitosa kuwa mabalozi wa mbio za Fistula Marathon ...
WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umeweka matarajio ya kukamilisha kupeleka umeme katika vitongoji 16,500  kwa kipindi cha ...
Hadi sasa Best Naso yupo katika orodha ya vipaji vikubwa kutoka Kanda ya Ziwa zilivyoishika Bongo Fleva kwa kipindi fulani, ...