Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inaendelea kufanya kazi na wadau kuhakikisha haki za watoto wenye uhitaji ...
Dar es Salaam. Mtoto akikosea anatakiwa kuadhibiwa au kuadabishwa? Huu ni mjadala ulioshika kasi kwa sasa kukiwa na msukumo mkubwa wa kuondolewa adhabu ya viboko kwa kile kinachoelezwa haina matokeo ...
Watoto ambao ni wanafunzi mara nyingi hulalamika kwamba utendaji wao au akili zao zinashuka. Wazazi wa mvulana mmoja mwenye umri wa miaka 15 walimpeleka kwa mtaalamu wa saikolojia, baada ya ...
Baadaye mwaka 2019, serikali ikaomba kukata rufaa. Mpaka sasa tunavyozungumza ni miaka mitano bado sheria haijabadilishwa.” “Tumekuja na ujumbe kwamba mtoto wa kike apewe nafasi. Maeneo mengine ...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Mbeya, imemhukumu Evaristo Mwakyoma (69), mkazi wa Mapelele, kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumlawiti mtoto wa jirani yake, mwenye umri wa miaka mitano. Hukumu ...
"MAISHA kama mtoto wa Osama bin Laden ni magumu sana. Hata leo, watu wanaogopa kushirikiana na sisi," anasema… Ni kauli ya mtoto wa Osama bin Laden, Omar bin Laden, akisimulia taswira ya baba yake, na ...
Katika mazungumzo yake na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa anasema kwamba ujumbe mkuu wa taasisi ya Haki Elimu katika Mkutano huu wa CSW69 ni kuhakika elimu kwa mtoto wa kike. "Na ...
DAR ES SALAAM: MAHAKAMA ya Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam, imemhukumu Salum Sume ,34, maarufu kwa jina la Baba Arafat, mkazi wa Mbagala kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya ...
Mgonjwa wa pili wa Ebola, mtoto wa miaka 4, amefariki nchini Uganda, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema, likinukuu wizara ya afya ya nchi hiyo. Nchi hiyo ya Afrika Mashariki ilitangaza kuzuka ...
Kawaida yai hili linakua polepole kuwa mtoto. Wakati mwingine hutokea kwamba hugawanyika katika sehemu mbili mwanzoni kabisa. Hii inasababisha watoto mapacha.' Hata hivyo, wakati mwingine hali ...