Szabo anakadiria kuwa zaidi ya washindani 9 kati ya 10 katika Indigo Invitational, ambayo imeadhimisha mwaka wake wa nne mwezi Januari, walifua suruali zao kwa mara ya kwanza baada ya kuvaa mara ...
Kabla ya hapo, tayari ameanzisha mfululizo wa ushuru kwa uagizaji wa chuma, alumini, magari pamoja na bidhaa zote kutoka China. Trump anasema – kwa hatua hizi ambazo zinazifanya bidhaa za kigeni ...
Dar es Saalam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza kuwa Shilingi ya Tanzania inatarajia kuimarika ifikapo mwishoni mwa mwaka huu kutokana na ongezeko la mapato ya fedha za kigeni linalotarajiwa kwa ...
Wizara ya Afya nchini Tanzania imetangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa Virusi vya Marburg, MVD ambao ulisababisha vifo vya watu 10 mkoani Kagera. Tangazo hili limetolewa baada ya vipindi ...
Kwa WFP nako hali si hali kwani kupitia taarifa yake iliyotolewa leo huko Roma, Italia shirika hilo linaonya kwamba watu milioni 58 katika maeneo 28 yenye majanga duniani wako hatarini kukosa misaada ...
Waziri mwenye akili zake timamu na mwenye uelewa wa mambo. Aliniuliza kitu ambacho natembea na jibu lake. Bahati nzuri tulikubaliana. Aliniuliza kama kuna ‘afya’ yoyote kwa nchi kwa hiki ...
Kwa zaidi ya masaa mawili, Simba ilikosa kupata fumbuzi wa changamoto hiyo. Jumamosi mchana saa sita, bodi ya ligi ilitoa taarifa ya kuahirisha mechi huku ikidai kufanya uchunguzi zaidi kabla ya ...