Abiria Godfrey David Mbaga aliyekuwa akisafiri kutoka mkoani Mwanza kwenda jijini Dar es Salaam kwa basi la Kampuni ya Ally’s ... Katika tukio lingine Kamanda Mkama amesema asubuhi ya leo Jumatatu, ...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Seth Masalu akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo Machi 7, 2025. Picha na Saada Amir Mwanza. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoani ...