资讯

Amesema falsafa ya 4R zinazojumuisha maridhiano, ustahimilivu, mageuzi na kujenga upya Taifa, zimeendelea kujenga umoja wa ...
MTUME Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze, amesema watanzania waliombee taifa, ili liwe na amani kuelekea uchaguzi mkuu, mwaka huu. Mwamposa amesema hayo katika ibada ya Pasaką, kwenye kanisa ...
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amesema amebaini Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) alimlipa mkandarasi malipo ya ziada kwa wakandarasi ya Sh.milioni 586.43.