资讯

Amesema falsafa ya 4R zinazojumuisha maridhiano, ustahimilivu, mageuzi na kujenga upya Taifa, zimeendelea kujenga umoja wa ...
Mti mkubwa wa mcheri, unaoaminika kuwa na umri wa miaka 1,000, umechanua kwa ukamilifu katika mji wa Maniwa, mkoani Okayama magharibi mwa Japani. Mti huo wa mcheri wa Daigo-zakura una urefu wa ...
Ndoa ilikuwa Machi 2022. Jina lake lilitawala vyombo vya habari na mitandao ya kijamii huku kukiwa na kauli mchangayiko ikiwemo zinazombeza kama vile 'Kaolewa na mzee' kafuata mali na nyingine nyingi.
MTUME Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze, amesema watanzania waliombee taifa, ili liwe na amani kuelekea uchaguzi mkuu, mwaka huu. Mwamposa amesema hayo katika ibada ya Pasaką, kwenye kanisa ...
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amesema amebaini Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) alimlipa mkandarasi malipo ya ziada kwa wakandarasi ya Sh.milioni 586.43.
Hiki ni kisa cha kushangaza nchini Kenya. Watu wanne wametiwa mbaroni kwa kujaribu kuuza nje maelfu kadhaa ya Siafu walio hai kinyume cha sheria ili kuuzwa kwa wakusanyaji wa bidhaa hiyo barani ...