MWANAMKE wa Kikenya, amekamatwa kwa usafirishaji wa dawa za kulevya huko Vietnam. Imepangwa kunyongwa kesho. Vietnam ina sheria kali zaidi duniani kuhusu dawa za kulevya, ikiwa ni pamoja na adhabu ya ...
KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Dorothy Semu amesimulia shuruba walizopata viongozi wa upinzani nchini Angola ikiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais, Othaman Masoud kusimama kwa saa nane bila kupokelewa wala ...