UONGOZI wa Tabora United, umefikia makubaliano ya kuachana na kocha mkuu wa timu hiyo, Anicet Kiazayidi huku nafasi yake ikichukuliwa na Mzimbabwe, Genesis Mangombe. Haijafahamika sababu za kuvunjwa ...
Siku tano baada ya Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora kufungiwa, uongozi wa Tabora United umeuchagua Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kwa mechi yake ya nyumbani dhidi ya JKT Tanzania, Machi 7, 2025.
Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo, Dk Charles Mahera amesema hayo wakati akifungua ngazi ya kitaifa mafunzo hayo kwa walimu ...
Mafundi wakitengeneza miundombinu ya mradi wa umeme wa Tabora - Katavi uliokamilika na utanufaisha wakazi wa Wilaya ya Tabora, Urambo na Kaliua. Dar es Salaam. Wananchi wa mkoa wa Tabora wataepukana ...
Wakati msimu huu mambo yakiwa hivyo kwao zikisalia mechi saba, msimu uliopita timu hizo zilikuwa kati ya nane zilizoshinda ...
SERIKALI imewaasa watafiti, wabunifu na wagunduzi wa sekta mbalimbali nchini kuchukua hatua za makusudi katika kutumia teknolojia zinazoibukia ili kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini ...
LIGI Kuu Tanzania Bara inaelekea ukingoni ikibakisha raundi nane tu ili iweze kutamatika kwa msimu wa 2024/25 ... ambapo kumeonekana kuna upinzani mkali kati ya Azam FC, Singida Black Stars na Tabora ...
Pia, nilianzisha mfumo wa wanawake kuwa na mabanda yao kwenye maonyesho ya Nane Nane," amesema Shamim. Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Lilian Liundi, amesema maadhimisho ya mwaka 2025, yanasherehekea ...