Eid al-Fitr ni moja ya sikukuu muhimu zaidi ya kidini kwa Waislamu duniani kote, ikiashiria mwisho wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, na kuanza kwa mwezi wa Shawwal. Zilianza kusheherekewa jana kwa ...