资讯

Muimbaji wa nyimbo za Injili, Esther Jumanne (33), ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jinsi alivyotapeliwa Dola za ...
Papa mpya huchaguliwa baada ya aliye madarakani kufariki, au baada ya kujiuzulu (kama Papa Benedict XVI alivyofanya, mwaka 2013). Mrithi wake anakuwa kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki la Roma ...
Hata hivyo, amepinga sheria kali dhidi ya mashoga katika nchi kama Ghana. Katika mahojiano ya 2023 na BBC, wakati Ghana ilikuwa inajadili muswada wa kuwahukumu watu wa LGBTQ+, Turkson alisema kuwa ...
Balozi mpya wa Marekani nchini Japani, George Glass, ameelezea matumaini yake kuwa Marekani na Japani zitaafikiana kuhusu suala la ushuru. Glass alizungumza na wanahabari baada ya yeye na mkewe ...
MOJA kati ya habari kubwa kwa mashabiki wa Liverpool kwa mwezi huu ilikuwa ni kusaini mkataba mpya wa miaka miwili ambao utamwezesha kusalia hadi mwaka 2027. Mbali ya furaha ambayo mashabiki wa ...
Kwa sasa ni miezi minane bila Tanasha kutoa kazi mpya wimbo wake wa mwisho kuachia ‘Okay’ ulitoka Julai 26 ... Kwa nje inaonekana kuna mambo mengi hayaendi sawa kwa Tanasha upande wa muziki, video za ...
Leo ni sikukuu ya Pasaka waumini wa kikristo wanasherehekea kukufuka kwa Yesu zaidi ya miaka 2000 iliyopita huko Yerusalem, Mashariki ya Kati.
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
DAR ES SALAAM; MWIMBAJI wa muziki wa Injili Rose Muhando alikonga nyoyo za mashabiki kwenye Tamasha la mtoko wa Pasaka lililofanyika usiku wa jana Dar es Salaam. Rose ambaye watu hupenda kumwita ...
Utaratibu wa kumtafuta kiongozi mpya wa Kanisa hilo, unatarajiwa kuanza kati ya siku 15 hadi 20, ambapo Makadinali watapiga kura. Makadinali 135 wanatarajiwa kupiga kura, 108 walichaguliwa na Papa ...
BARCELONA, HISPANIA: STRAIKA wa Barcelona, Robert Lewandowski anatarajiwa kuukosa mchezo wa El Classico dhidi ya Real Madrid baada ya kupata majeraha ambayo yatamweka nje kwa Zaidi ya wiki tatu.