资讯

Muimbaji wa nyimbo za Injili, Esther Jumanne (33), ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jinsi alivyotapeliwa Dola za ...
Papa mpya huchaguliwa baada ya aliye madarakani kufariki, au baada ya kujiuzulu (kama Papa Benedict XVI alivyofanya, mwaka 2013). Mrithi wake anakuwa kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki la Roma ...
Hata hivyo, amepinga sheria kali dhidi ya mashoga katika nchi kama Ghana. Katika mahojiano ya 2023 na BBC, wakati Ghana ilikuwa inajadili muswada wa kuwahukumu watu wa LGBTQ+, Turkson alisema kuwa ...
Balozi mpya wa Marekani nchini Japani, George Glass, ameelezea matumaini yake kuwa Marekani na Japani zitaafikiana kuhusu suala la ushuru. Glass alizungumza na wanahabari baada ya yeye na mkewe ...
Vilevile wimbo wake 'Nakupenda' ulishinda Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2022 kama Wimbo Bora wa Mwaka ukizibwaga nyimbo nyingine kali kama Pita Huku (Dulla Makabila), Nitaubeba (Harmonize), Kwikwi ...
MOJA kati ya habari kubwa kwa mashabiki wa Liverpool kwa mwezi huu ilikuwa ni kusaini mkataba mpya wa miaka miwili ambao utamwezesha kusalia hadi mwaka 2027. Mbali ya furaha ambayo mashabiki wa ...
Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu Mangungu pia ametambua mchango wa watu waliowahi kuleta mapinduzi kwenye uuzaji wa jezi, akiwemo Kassim Dewji, Vunja Bei na Sandaland, huku akisema Jayrutty sasa ...
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO leo limesema mamilioni ya vifo vtokanavyo na homa ya uti wa mgongo au meningitis vinaweza kuepukwa ikiwa nchi zitaweza kuanzisha miongozo mipya ...
Katika muktadha huu mpya, ni jinsi gani mipango hiyo miwili itaratibiwa - na Faure Gnassingbé atakuwa na nafasi gani ya kuendelea mazungumzo kati ya pande hasimu? Katika suala hili ...
Kampuni hiyo mapema ilitangaza itaanza kupokea maagizo ya awali kwa ajili ya konsoli zake mpya mnamo Aprili 9 na kuachia bidhaa hiyo mwezi Juni. Maafisa katika ofisi ya kampuni hiyo nchini ...
Wakazi wa maeneo yaliyoathirika vibaya na tetemeko la ardhi katikati mwa Myanmar wanalazimika kulala mitaani kwa hofu ya majengo kuanguka, huku wakikumbwa na mvua kubwa za mapema za masika na tishio ...