Donald Trump anasema yeye na Vladimir Putin watajadili "ardhi", "viwanda vya nguvu" na "kugawanya baadhi ya mali" ...
Askari hao wanajiandaa kwa ajili ya kupatiwa mafunzo mapya chini ya mamlaka ya waasi hao (M23) ambao wanadaiwa kuungwa mkono na Serikali ya Rwanda, japo Rais Paul Kagame kukanusha madai hayo ...