Tanzania imeanza vyema mbio za kusaka tiketi ya kucheza Kombe la Dunia kwa vijana wa chini ya miaka 19 baada ya kuifunga ...
MIKAKATI ya kumjenga mwanafunzi kimaisha kabla ya kumaliza elimu, kujumuisha kumfundisha ujasiriamali na stadi zinazofanana ...
Mamelodi Sundowns na Esperance huenda kila moja ikajikuta ikikumbana na adhabu kali kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu ...
Dar es Salaam. Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limeufungulia Uwanja wa Benjamin Mkapa kutumika kwa mechi za kimataifa za kimashindano, uamuzi ambao umefanyika siku 15 baada ya shirikisho ...
WALIOKUWA wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), wapatao 175 wamepaza sauti zao kwa Rais Samia Suluhu ...
LONDON, ENGLAND: BUKAYO Saka amebakiza hatua chache sana kabla ya kuanza kuonekana tena uwanjani na uzi wake wa Arsenal. Staa huyo wa The Gunners alipigwa picha kwa mara ya kwanza akiwa mazoezini huko ...
Mkutano huo ni sehemu ya ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 na kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara mkoani Shinyanga.
SHINYANGA; Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira mjini Kahama mkoani Shinyanga Machi 27, 2025. Sehemu ya umati ...
Kuishi katika mazingira hayo yanayokupa picha ya kipekee kuhusu dunia, kunakupa nafasi ya kuwa na tafakuri, jambo ambalo Suni amekiri. "Inafungua mlango wa kukufanya ufikirie tofauti kidogo.
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Zipo nchi hutumia vifaa maalumu vya kuuonea mwezi kabla ya kutangaza kuonekana kwake na kuanza kwa sherehe za Eid Eid kusheherekewa siku tofauti ...
Na Mwandishi wetu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeendelea kung’ara katika ulingo wa mawasiliano na uhusiano wa umma baada ya kushinda Tuzo ya Ubora ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果