资讯
Dar es Salaam. Alizaliwa akiwaona baba na mama wakiishi pamoja. Licha ya kuwa familia yao haikuwa na uwezo mkubwa kiuchumi, walikuwa na furaha na waliishi kwa upendo. Hali iliendelea hivyo hadi ...
Wakizungumza na Mwananchi jana Jumamosi, Aprili 19, 2025 baadhi ya watumiaji wa daraja hilo, wamesema wanashindwa kumudu gharama za usafiri, kupita eneo mbadala na lilipo daraja hilo. Shaabani Ngodoki ...
Tumeshinda lakini sijafurahia', mmoja wa mashabiki wa Simba SC ya Tanzania, baada ya kipyenga cha mwisho cha mchezo wao dhidi ya Stellenbosch FC katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la ...
Ukraine ilikubali. Urusi haikufanya hivyo. Au tuseme, ilikuja na orodha ndefu ya masharti. Badala ya siku 30, Kremlin iliamua saa 30. Siku ya Jumamosi, Rais Vladimir Putin alitangaza mapatano ya ...
ACT-Wazalendo, inaendelea na Makongamano ya viongozi wa ngazi za chini kufafanua msimamo wa Chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Kongamano la Mkoa wa Kigoma ni la tatu, likitanguliwa na ...
Ibada ya mazishi ya Papa Francis, itafanyika Jumamosi wiki hii ikiongozwa na Kardinali Giovanni Battista Re, Dekano wa Baraza la Makardinali, katika Kanisa Kuu la Petro, jijini Vatican. Taarifa ya ...
Na mwandishi wetu mjini Kinshasa, Paulina Zidi Umoja wa Mataifa umerekodi zaidi ya wahasiriwa 1,200 wa ukiukaji wa haki za binadamu na dhuluma kote DRC mwezi wa Februari. Idadi hii inawakilisha ...
MCHUANO kwa timu za wanawake utakuwa kwa klabu tano kati ya timu 11 zinazoshiriki Ligi ya Kikapu ya Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam (WBDL). Mchuano huo unatokana na maandalizi ya timu hizo pamoja na ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果