资讯

Dar es Salaam. Alizaliwa akiwaona baba na mama wakiishi pamoja. Licha ya kuwa familia yao haikuwa na uwezo mkubwa kiuchumi, walikuwa na furaha na waliishi kwa upendo. Hali iliendelea hivyo hadi ...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) imesema kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika utoaji huduma za afya ambapo kwa sasa Mkoa wa Kigoma umeanza kutekeleza mpango wa serikali wa huduma za tiba kuwa sehemu ya ...
KIGOMA: MKOA wa Kigoma umepokea Sh bilioni 429 kutekelezaji miradi ya maji kwa kipindi cha miaka minne ya Rais Samia madarakani. Lengo ni kusogeza huduma ya maji karibu na makazi ya watu ili kuondoa ...
Ikiwa imesalia mwaka mmoja tu kandarasi ya sasa ya Safari Rally kwenye mashindano ya dunia WRC kutamatika, washikadau, wafanyabiashara na mashabiki wanaitaka serikali ya Kenya kurefusha mkataba ...
Simba ina kibarua kizito Jumatano hii dhidi ya Al Masry huku ikifahamu kwamba ili kuvuka moja kwa moja kucheza nusu fainali, inapaswa kushinda kuanzia mabao 3-0. Kutokana na deni hilo walilonalo ...
AZAM FC inaendelea kupigania heshima yake, ambapo tumaini kubwa lililobaki sasa ni kumaliza katika nafasi ya tatu, ingawa kimahesabu bado inaweza kumaliza ya pili baada ya kuukosa rasmi ubingwa wa ...
MIONGONI mwa wasanii wa Bongo Fleva wanaofanya vizuri kwa sasa ni pamoja na Jay Melody ambaye nyimbo zake zimekuwa maarufu sana hasa upande wa kinadada huku zikijizolea mamilioni ya wasikilizaji ...
Tumeshinda lakini sijafurahia', mmoja wa mashabiki wa Simba SC ya Tanzania, baada ya kipyenga cha mwisho cha mchezo wao dhidi ya Stellenbosch FC katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la ...
Ukraine ilikubali. Urusi haikufanya hivyo. Au tuseme, ilikuja na orodha ndefu ya masharti. Badala ya siku 30, Kremlin iliamua saa 30. Siku ya Jumamosi, Rais Vladimir Putin alitangaza mapatano ya ...
ACT-Wazalendo, inaendelea na Makongamano ya viongozi wa ngazi za chini kufafanua msimamo wa Chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. Kongamano la Mkoa wa Kigoma ni la tatu, likitanguliwa na ...