资讯

"Moyo wangu na roho yangu vilienda na Rifaat," anasema Haja Umm Muhammad, mama wa mmoja wa wafanyakazi wa misaada wa Kipalestina 15 waliouawa katika shambulio hatari lililofanywa na Israel dhidi ...
Makocha wake na mashabiki wanavutiwa na namna anavyocheza. Ana kasi nzuri, anajua kujipanga ndani ya eneo la hatari, na ni mbabe wa mabeki wachovu. "Najua kazi yangu ni kufunga, na nitaendelea ...
Masikitiko yangu ni kwa huyu msanii, watu wakikutambua kama kioo cha jamii ni vyema ukawa mfano ... Tunapaswa kutambua haya mambo ya kugombana, kurushana roho hayana tija kwenye ustawi wetu, hivyo ...
Nilijiamini na kuwa na furaha zaidi, siku baada ya siku. Nadhani mama yangu alifanya chaguo sahihi." Sasa Abby ana umri wa miaka 35 na amefanyiwa upasuaji wa urembo mara mia moja ikimgharimu dola ...
Akizungumza nyumbani kwake kuhusiana na tukio hilo, Mng'ong'o ameeleza kuwa ni wiki moja tangu watu wasiojulikana kufika nyumbani hapo kuiba tairi jipya la gari hilo aina ya Nisan Xtrail.
Mwanamke wa Kimaasai anamwambia mwanaume, ‘Sisi ni wake 10 kwako, wewe si umetuoa wanawake 10. Basi usiseme ardhi yangu ndiyo ya kijana wangu. Hapana, mpe kijana wangu sehemu yake na unipe mimi pia ...
"Sikubali kunyimwa haki yangu: sio haki, sio haki na haieleweki," Tidjane Thiam alisisitiza katika video iliyorushwa kwenye mtandao wa kijamii. Tidjane Thiam alishutumu "kunyimwa haki" na kutoa ...
“Kabla ya mafunzo haya, nilikuwa napata shida kusimamia bidhaa zangu na kuweka rekodi za kifedha. Mafunzo yamenifumbua macho kuhusu upangaji bora wa fedha, na sasa nafanya maamuzi ya busara ...