Kenya imekuwa taifa la hivi karibuni zaidi kuitambua Kosovo kama nchi huru,hayo yameelezwa na rais wa Kosovo Vjosa Osmani ...
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya SADC, wameongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa mashariki mwa nchi ...
Afisa mmoja wa kikosi cha kimataifa kilichotumwa Haiti kupambana na makundi yenye silaha, Bénédict Kabirou amefariki katika ...
Aba bagaba b'ingabo batanze raporo, irimo "mu buryo burambuye, ingamba z'igihe gito n'igihe kirekire" zo kugera ku mahoro ...
Umoja wa Mataifa umeonya juu ya kukamatwa kwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Sudan Kusini. Umesema hali hiyo inaweza kulirudisha taifa hilo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ...
Msemaji wa Kremlin amesema kwamba Urusi na Marekani kwa sasa wanachambua matokeo ya mazungumzo ya Saudi Arabia.