Burundi imetishia kujibu vikali shambulio au uvamizi wowote utakaotokea nchini humo kutoka Rwanda. " Tunafahamu Rwanda inajaribu kutuvamia kupitia ardhi ya DRC ili wasingizie kuwa ni waasi wa Red ...