Amesema uhifadhi na usambazaji wa maji kwa kujenga tanki la kuhifadhi maji lenye ujazo wa lita 50,000 na kuanzisha mtandao wa usambazaji maji wenye vituo vingi vya ukusanyaji, kuhakikisha kwamba ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetembelea mradi wa upanuzi wa mtandao wa maji ya Ziwa ...
Shirika la Lifewater International Tanzania limetekeleza mradi wa maji safi na usafi wa mazingira katika Kijiji cha Bugogo, ...
Akizungumza katika ziara hiyo, Aweso amesisitiza umuhimu wa kutunza miundombinu katika kipindi hiki ambacho mamlaka inaendelea na mchakato wa kuwaunganishia wananchi huduma hiyo.