Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania ni Msimamizi wa Mpango Maalum wa Nishati Safi Afrika Amesema hayo wakati ...
Amesema uhifadhi na usambazaji wa maji kwa kujenga tanki la kuhifadhi maji lenye ujazo wa lita 50,000 na kuanzisha mtandao wa usambazaji maji wenye vituo vingi vya ukusanyaji, kuhakikisha kwamba ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetembelea mradi wa upanuzi wa mtandao wa maji ya Ziwa ...
Akijitahidi kuwa mkakamavu, mkusanyaji takataka Okuku Prince mwenye umri wa miaka 22 anakumbuka wakati mwili wa rafiki yake ...
Urusi inasema hakuna mazungumzo yoyote yatakayofanyika baina yake na Marekani yatakayofanyika Saudi Arabia kuhusu kuondoa ...
"Nilitokwa machozi ya furaha, sikutarajia jambo hili, maana tulisubiri kwa muda mrefu, lakini wakati wa Mungu ni wakati ...
Rais Samia amezindua awamu ya pili kwenye Uwanja wa CCM Jitegemee wilayani Muheza jana akiwa kwenye siku ya tano ya ziara yake ya siku saba mkoani Tanga. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala ... ya ...
Taarifaya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF iliyotolewa leo Bukavu, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini inasema hivi sasa wengi wa watu hao wanaishi kwenye mazingira hatarishi, ...
Alisema mradi huo utakapokamilika utasaidia wananchi wengi kupata nishati safi na kupunguza matumizi ya nishati ya kuni na mkaa ambazo si ... Jana, Rais Samia alihitimisha ziara yake ya siku saba ...
Msemaji wa UNHCR, Celine Schmitt, amesema leo kuwa watu watahitaji "makazi, ajira, shule, hospitali, umeme na maji safi" mahitaji ambayo hayapatikani baada ya miaka 14 ya ... katika maeneo yao ya ...
Harakati za kumkomboa mwanamke na kulinda haki zake zimeanza kuzaamatunda huku juhudi zaidi zikihitajika ili kuleta usawa wa ...
Azam ndio ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya kwanza tu mfungaji akiwa winga Djibril Sillah aliyepokea krosi safi ya mwenzake Idd Seleman 'Nado', kisha mfungaji kupiga ... Matokeo hayo yanaifanya ...