Hiyo ni baada ya hivi karibuni kutokea tukio la mwanafunzi kufariki dunia baada ya kuchapwa na mwalimu wake mkoani Simiyu.
Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 'Serengeti Boys' imewasili jana Morocco ikitokea Misri tayari kwa kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri kama huo huku ...
Dar es Salaam. Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 'Serengeti Boys' imewasili jana Morocco ikitokea Misri tayari kwa kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana wa umri ...
Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mara (RCC) wamepitisha Jimbo la Uchaguzi la Serengeti kugawanywa na kupata majimbo mawili ya uchaguzi ambapo majina ya majimbo yanayopendekezwa ni ...
MIONGONI Mwa nyota wa kutazamwa kwenye kikosi cha Yanga Princess ni Neema Paul anayemudu kucheza winga zote mbili. Paul alijiunga na Yanga msimu uliopita 2023/24 akitokea Fountain Gate Princess ...
Serengeti Breweries Limited (SBL) imetambuliwa katika tuzo maarufu za Rising Woman, zilizoandaliwa na Mwananchi Communications Limited, kwa mchango wake mkubwa katika kukuza usawa wa kijinsia na ...