Ripoti ya IPU, inasema bado kuna idadi ndogo ya uwakilishi wa wanawake katika nafasi za uongozi na siasa, kwa sasa kuna asilimia 22.9 kati ya 50 ambayo inatakiwa. Imeelezwa kuwa wanawake wanahudumu ...
SIKU ya Wanawake Duniani, iliyoadhimishwa Machi 8, 2025 kitaifa jijini Arusha, Nipashe Digital imeandaa takwimu zinazoonesha ushiriki wa wanawake katika nafasi ya ubunge kuanzia mwaka 2020 hadi 2025 ...