Ripoti ya IPU, inasema bado kuna idadi ndogo ya uwakilishi wa wanawake katika nafasi za uongozi na siasa, kwa sasa kuna asilimia 22.9 kati ya 50 ambayo inatakiwa. Imeelezwa kuwa wanawake wanahudumu ...
SIKU ya Wanawake Duniani, iliyoadhimishwa Machi 8, 2025 kitaifa jijini Arusha, Nipashe Digital imeandaa takwimu zinazoonesha ushiriki wa wanawake katika nafasi ya ubunge kuanzia mwaka 2020 hadi 2025 ...
Hata hivyo ameonya kuwa huu sio wakati wa kusinzia kwani safari bado ni ndefu kutimiza lengo na lengo hilo litatimia tu endapo wanawake na wasichana hawatokataliwa kutimiza ndoto zao, kupata haki zao ...
BAADA ya jana kushuhudia michezo miwili ya Ligi ya Championship, kipute hicho kitaendelea tena leo kwa mingine mitatu kupigwa kwenye viwanja mbalimbali, ikiingia mzunguko wake wa 20, kwa lengo la ...
Hii ilichukua hatua ya Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo kuwaleta Raila na Ruto kwenye meza ya mazungumzo. Hili lilipelekea kuundwa kwa timu ya pande mbili - NADCO - ambayo iliunda ...