资讯

Mti mkubwa wa mcheri, unaoaminika kuwa na umri wa miaka 1,000, umechanua kwa ukamilifu katika mji wa Maniwa, mkoani Okayama magharibi mwa Japani. Mti huo wa mcheri wa Daigo-zakura una urefu wa ...
“CHA kuwapeni mimi sina, Mungu atawalipa” maneno ya mzee Hamisi Seleman mkazi wa Mtwara Mjini, mkoani Mtwara baada ya kujengewa nyumba yenye hadhi na kutolewa kwenye nyumba chakavu aliyokuwa akiishi.
Ndoa ilikuwa Machi 2022. Jina lake lilitawala vyombo vya habari na mitandao ya kijamii huku kukiwa na kauli mchangayiko ikiwemo zinazombeza kama vile 'Kaolewa na mzee' kafuata mali na nyingine nyingi.
"Mzee Mkuchika amestaafu hivyo wanapaswa kumpata mwenye nguvu ili kusonga mbele. Ni watu wachache na waungwana wanapofika anasema kupumzika tutaendelea kuchota busara zako ninaamini utatoa ushirikiano ...
Baba Mtakatifu Fransicko alizaliwa Desemba 17, 1936 mjini Buenos Aires. Yeye ni mtoto wa Mzee Mario na Mama Regina Sivori, waliobahatika kupata watoto watano. Katika ujana wake, alisoma na kufuzu na ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. KOCHA ...
Sanaa ya Muziki Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania, ni sanaa inayokua kwa kasi vijana wanawekeza kulifikia soko la Muziki Afrika Mashariki, B2K ni Msanii anayekonga Nyoyo za Wasichana zaidi ...
“Alipoona mwitikio ni mdogo, Mwalimu alipendekeza tukishaunda shirikisho, Mzee Kenyatta awe Rais wa kwanza. Alikuwa tayari kuchelewesha uhuru wa Tanganyika ili tuanze pamoja kama Shirikisho la Afrika ...
“Mzee wetu ametangaza kustaafu. Naamini atakayekuja kumrithi ni lazima awe mwenye nguvu. Mzee Mkuchika amechoka na amestaafu kwa heshima. Si kila mtu anaweza kustaafu kwa kusema ‘nimechoka’. Tutazidi ...