资讯

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kesho ni ukomo wa kutumia noti za zamani. Kupitia ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa X, BoT imetangaza kuwa ubadilishwaji wa noti za zamani ulianza ...
Tofauti na zama zile, zamani, mababu na mabibi walirahisishia mambo na kujengea misingi imara ya ndoa tofauti na sasa. Hawakubeba mashada ya maua wala kwenda fungate. Hawakukodisha kumbi wala magari ...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa kuanzia kesho, Jumamosi Aprili 5, 2025, baadhi ya noti za zamani hazitatambulika tena kama fedha halali. Zoezi la kuziondoa noti hizo lilianza Januari 6, ...
Serikali ya Kongo inaimarisha hatua zake dhidi ya rais wa zamani Joseph Kabila na washirika wake wa karibu. Kufuatia tangazo la kusitishwa kwa shughuli za chama chake, PPRD, kote nchini ...
kulingana na ripoti ya Mahakama ya Wakaguzi ambayo ilifichua takwimu potofu za deni la umma na nakisi ya bajeti, na deni lililofichwa la dola bilioni 7 chini ya usimamizi wa mkuu wa zamani wa nchi ...
Dunia inaadhimisha Siku ya Afya leo ambapo kwa mujibu wa ripoti za Shirika la afya duniai inakadriwa kwamba karibu wanawake 300,000 hupoteza maisha kila mwaka kutokana na ujauzito au kujifungua ...
Ofisi ya Shirikisho ya Kinga dhidi ya Mionzi (BfS) imeunda hifadhidata maalum ili kulinganisha simu za zamani na mpya zilizo na viwango vya juu vya mionzi. Simu kutoka China zinaongoza katika ...
“Alikuwa ndio kwanza ana siku saba, baba yake alimletea tenga. Basi siku hiyo baba yake akamuweka kwenye kile kitenga akawa amelala. Lakini baba yake alikuwa anapenda sana taarabu za Juma Balo ...
Majadiliano hayo ya siku mbili kuhusu sera za maendeleo endelevu, yaliyoandaliwa na Club de Madrid, yamehitimishwa leo jijini Nairobi. Mkutano huo umejikita katika suala la ufadhili wa maendeleo na ...
“Tangu vita vianze miezi 18 iliyopita, mamlaka za Israel zimezuia vyombo vya habari vya kimataifa kuingia Gaza. Hali hii inachochea propaganda, upotoshaji wa taarifa na uenezaji wa chuki dhidi ya ...
UNAMKUMBUKA beki wa kimataifa wa zamani wa Tanzania aliyewahi kuwika na Mtibwa Sugar kabla ya kwenda Kenya ... wakubwa zangu walisafiri hadi Kenya kwenda kumchukua, tukaanza kuhangaika naye tiba za ...