资讯
Mbali na mafanikio hayo, Masauni amesema falsafa hiyo ni daraja la kuimarisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kiongozi huyo ametoa kauli hiyo leo Aprili 22, 2025, alipokuwa akifungua Kongamano la ...
Kiongozi kipenzi cha watu wote ambaye anatajwa hakuwa mbaguzi, alikuwa kiungo kikuu katika jamii. Ndiye kiongozi anayetajwa "kama si yeye, pengine Muungano wa Tanganyika na Zanzibar usingekuwapo". Ni ...
Mwaka 1993, kuliibuka kundi la wabunge 55 waliojiita G-55 ndani ya Chama tawala chini humo, Chama cha Mapinduzi (CCM), lililotaka mabadiliko ndani ya chama ya kuleta Serikali ya Tanganyika ndani ...
Kwa mujibu wa Ulimwengu, G55 ya sasa ni kundi linalojenga hoja mbadala ndani ya Chadema kupinga kuzuia uchaguzi, wakati ile ya zamani ilijenga hoja mbadala ndani ya CCM kushawishi kuundwa kwa Serikali ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果