资讯
MWIMBAJI wa Bongo Fleva, Harmonize ameimarisha rekodi lebo yake yake ya Konde Music Worldwide kwa kuongeza watendaji kadhaa ...
Ndani ya Bongo Fleva kwa sasa miongoni mwa makundi machache yaliyosalia na kuendelea kufanya vizuri ni pamoja na Mabantu ...
Mwanamuziki Zuchu ametimiza miaka mitano tangu alipotambulishwa katika rekodi lebo ya WCB Wasafi yake Diamond Platnumz ambayo imetengeneza majina ya mastaa wakubwa ndani ya Bongofleva tangu 2015.
Hadi sasa AY ni kati ya wasanii walioacha alama katika Bongofleva, muziki alioutumikia kwa miaka zaidi ya 20 na kufungua milango ya kuupeleka kimataifa kwa kushirikiana na wasanii wakubwa.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果