Shughuli za mazishi ya Katibu Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu, zimeanza nyumbani kwa baba yake, maeneo ya Chumbageni jijini Tanga, huku viongozi ...
Dkt. Zaituni amabaye ni rais wa madaktari wanawake nchini Tanzania amekuwa daktari bingwa mbobezi kwa takribani miaka 20.
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kati ya mwaka 2006 na 2011, Balozi Juma Volter Mwapachu, ...
Getorare na Watanzania wengine wanaweza kupata jibu matokeo chanya anayotaja Rais Samia, yatakapokuwa kwa upana wake na ...
Kiwanda cha kusindika mbogamboga, matunda na viungo cha Mbeya (Mbeya Food Park) kilikuwa eneo sahihi kuhitimisha AGRI-CONNECT ...
Shirika la Ndege la Precision Air Tanzania limezindua rasmi safari yake mpya ya ndege inayounganisha Dar es Salaam, Dodoma, na Iringa. Uzinduzi huo umefanyika leo, Machi 3, 2025, mkoani Iringa, ...
Simulizi ya Mwakagenda Katika mahojiano na Mwananchi yaliyofanyika hivi karibuni, Mwakagenda mbunge mwakilishi wanawake mkoa wa Mbeya anasema wanawake wa Tanzania wanaponzwa na mfumo dume. Akijitolea ...
Mechi ya ufunguzi ya kusaka tiketi ya kucheza michuano ya dunia ya ICC Ligi B kati ya Tanzania na Mali lilikuwa ni gumzo ...
DAR ES SALAAM: WATANZANIA watano huenda wakabadilisha mwelekeo wa maisha yao ikiwemo kujikwamua kiuchumi baada ya kila ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Walimu wakuu 60 na wapishi katika shule za msingi Halmashauri ya Manispaa Temeke wamejengewa uwezo kuhusu matumizi ya nishati safi ...
KWENYE soka la Tanzania kwa sasa ukitajiwa jina la Zaka Zakazi akili yako itahamia sehemu mbili tu. Utajiuliza labda ...
Kikosi cha Simba kinatarajia kuondoka Machi 28,2025 kuifuata Al Masry nchini Misri kwa mchezo wao wa robo fainali ya Kombe la ...