Ulaji wa mayai na unywaji wa maziwa kwa wananchi wa vijijini unaonekana kuwa mdogo ikilinganishwa na wa mijini.
Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia askari wawili wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Emmanuel Chacha (18) ...