Ulaji wa mayai na unywaji wa maziwa kwa wananchi wa vijijini unaonekana kuwa mdogo ikilinganishwa na wa mijini.
"Kwa msaada wa kilimo hiki, sasa naweza kukidhi mahitaji ya shule kwa watoto wangu. Elimu ni muhimu sana kwangu. Ninajivunia kuona watoto wangu wakikua na ndoto zao." Hadija awali alifuga mbuzi wa ...
Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia askari wawili wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Emmanuel Chacha (18) ...
milioni tano. Lengo ni kusherehekea kwa pamoja sikukuu ya Eid-Al-Fitri. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha, akikabidhi mbuzi Watoto hao wanatoka katika vituo vya kulelea yatima vya Mvuma kata ...
Miji nchini Ufaransa na Ubelgiji imekuwa ikitoa kuku bure kwa miaka mingi ili kukabiliana na upotevu wa chakula. Karibu na Pasaka mwaka 2015, mji wa Ufaransa wa Colmar ulianza kutoa kuku bure kwa ...
yalifanya mkutano wa pamoja wa wanahabari jijini Tokyo jana Ijumaa. Itoi Shiho kutoka taasisi ya PARCIC, inayosaidia ufugaji wa ng'ombe wa maziwa katika Ukanda wa Gaza, alisema kuwa kiwanda cha ...
Guo alidai kuwa aliingia kwenye siasa akitokea kwenye biashara ya ufugaji wa nguruwe, akisema alikuwa akisimamia shamba la familia yao kwa miaka kadhaa. Uamuzi wa kuingia kwenye siasa ulitakiwa ...
Kupitia Jumuiya ya Ushirika wa Msingi wa Jitihada, aligundua mradi wa maziwa wa Heifer International. Mpango huu haukuwa tu mkopo wa kununua mifugo – ulijumuisha mafunzo ya kina kuhusu ufugaji wa ...
Berunda ni eneo la uchimbaji madini ambapo ufugaji wa ng'ombe pia huripotiwa. Vuguvugu la Thomas Lubanga linachukulia eneo hili kama ngome yake ya asili. Ilikuwa pia katika eneo hili ambapo mnamo ...