Tanzania inazalisha umeme takribani Megawati 3500 kupitia vyanzo vyake mbalimbali vya umeme, wakati mahitaji yake yakiwa chini ya Megawati 2000. Kwa hesabu rahisi nchi hiyo inaziada ya kutosha ya ...
SHIRIKA la Umeme Tanzania ( TANESCO) limetaja sababu za kukatika kwa umeme katika treni ya mwendakosi (SGR) huku likidai lipo mbioni kuanzisha mkoa maalumu kwa ajili ya kushughulikia changamoto za ...
Viatu vinavyotundikwa kwenye nyaya za umeme na nyaya za simu vimekuwa na utata mkubwa duniani kote. Vimezungukwa na siri na wasiwasi, na katika jamii nyingi, vinahusishwa na mambo ya uovu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba. Dar es Salaam. Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu mchakato wa kununua umeme kutoka Ethiopia, imeendelea kuwaibua maofisa wa Serikali ...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa ufafanuzi kuhusu mjadala mkali unaoendelea kuhusu Tanzania kununua umeme kutoka Ethiopia. Ameeleza kuwa mjadala huo umejikita zaidi kwenye umbali wa ...
Dar es Salaam. Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) lipo katika mchakato wa kuuza umeme kwa kampuni ya Kanona ya nchini Zambia. Tanesco imethibitisha uwepo wa mazungumzo hayo katika taarifa yake ...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba ametoa Ufafanuzi zaidi kuhusu hatua ya Serikali kununua Umeme nchini Ethiopitia ...