Baada ya Darassa kuachia albamu yake ya pili, Take Away The Pain (2025), naye Lady Jaydee ameweka wazi kuwa Juni atatoa albamu ambayo itakuwa ya 10 kwake ikienda sambamba na kuadhimisha ...
Akiwemo Koffi Olomide, Papa Wemba, JB Mpiana, na Werra Son, huku akidhihirisha kuwa hiyo ndiyo sababu ya kupenda kutumia sauti za rhumba kwenye nyimbo zake. Hata hivyo mbali na kuonesha heshima kwa ...