Mnamo Machi 2020, mamilioni ya watu duniani walijikuta wamefungiwa majumbani mwao huku Covid-19 ikienea kwa kasi kubwa. Nchi kadhaa hazikuweka vizuizi, hivyo je, maamuzi yao yalikuwa sahihi?
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mtandao wa Kitaifa wa Watu Wenye Ulemavu katika maeneo ya kazi (NBDN) Dar es Salaam. Shirika ...
Zaidi ya nusu ya watu wazima wote na theluthi moja ya watoto, vijana, duniani wanatarajiwa kuwa na uzito mkubwa au unene kupita kiasi ifikapo mwaka 2050. Matokeo haya yanatokana na utafiti mpya wa ...
DR CONGO: SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi (UNHCR) limesema watu elfu themanini wamekimbilia nchi jirani kufuatia mzozo unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
WATU 700 wamepatiwa huduma za uchunguzi wa magonjwa ya moyo katika maonesho ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika jijini Arusha. Huduma hizo zilitolewa kwa muda wa siku saba katika ...
ATE yazindua Mtandao Uwezeshaji Watu wenye Ulemavu Mahali pa Kazi. Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kimezindua rasmi Mtandao wa Uwezeshaji wa Watu Wenye Ulemavu Mahali pa Kazi Nchini (NBDN), hatua ...
Vilevile amechapisha video kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha wafanyikazi wa huduma za dharura wakiwaondoa watu kutoka kwenye hoteli hiyo iliyoharibiwa vibaya. Reuters imethibitisha kutokea ...
Saa ishirini na nne baada ya kukamatwa kwao, watu 20 wanaoshukiwa kushiriki katika mauaji ya watafiti wawili kutoka Taasisi ya Utafiti wa Jiolojia na Madini ya Garoua, Frédéric Mounsi na ...
Zaidi ya watu 70 wameripotiwa kufariki katika mapigano kati ya vikosi vya usalama vya serikali ya mpito ya Syria na wapiganaji wanaomuunga mkono rais aliyepinduliwa Bashar al-Assad. Mapigano ...
Mbali na tabia, ukweli ni kwamba makundi yetu ya damu yanaweza kutuonyesha pia vile mtu anavyopendelea na asivyopendelea, kazi anazopendelea, watu anaowapendelea na hata vyakula. Baadhi ya watafiti wa ...