Hivi karibuni, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu aliibua suala hilo alipozungumza jijini Dar es Salaam, alitolea mfano idadi ya watu katika majimbo ya Zanzibar na majimbo Tanzania Bara; pamoja na ...
Morogoro/Arusha. Wakati Jeshi la Polisi likiwashikilia watu 12 mikoa ya Mbeya na Morogoro, kwa tuhuma za kuendesha biashara ya fedha mtandaoni bila kibali cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Serikali ...