DAR ES SALAAM; RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Tanzania imepata manufaa na heshima kwa kuandaa mashindano ya 25 ...
Hatua ya waasi wa M23 kuuteka mji wa Bukavu ambao ni wa pili kwa ukubwa katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo innaonekana kulemaza juhudi za kikanda na kimataifa za kutafuta ...
“LENGO la serikali ni kwamba ifikapo mwaka 2030, asilimia 100 ya korosho yote inayozalishwa nchini ibanguliwe hapa ...
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua anaongoza orodha ya wafungaji wa Ligi Kuu Bara akiwa na mabao 12, huku ligi ...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha ...
SERIKALI imeungana na Umoja wa Mataifa (UN) kutumia teknolojia ya kuboresha mbinu za kilimo, ili kupunguza upotevu wa mazao ...
Ukisema cha nini, mwenzako anajiuliza atakipata lini? Msemo huu unaelezea hali halisi ya maisha katika Dampo Kuu la Jiji la ...
Kundi la ISIS linatajwa na Marekani kuwa kundi la wanamgambo na moja ya makundi ya kigaidi hatari zaidi nchini Iraq na ...
Mshauri wa Usalama wa Kitaifa Mike Waltz anasema Marekani "imesitisha" kushirikisha taarifa za kijasusi na Ukraine.
MLINZI Charles Absalom (65), aliyekuwa lindo katika ghala la Mohamed Enterprises mwaka 2023, anadaiwa alitumia bunduki ...
MECHI ya watani wa jadi, Yanga na Simba maarufu kama Dabi ya Kariakoo, imeota mbawa baada ya kuahirishwa na Bodi ya Ligi kwa ...