Moto mkubwa wa misituni unaoendelea kwa siku ya tano mfululizo katika maeneo ya kusini mashariki mwa Korea Kusini ...
Nchini Korea Kusini, moto mkubwa wa misituni unaoendelea kwa siku ya tano mfululizo katika maeneo ya kusini mashariki ...
Brigedi za Izz ad-Din na al-Qassam ambazo ni tawi ya kijeshi ya kundi la Hamas, zilirusha makombora na kuzielekeza katika mjiw a Tel Aviv Alhamisi Machi 20 kama majibu ya mashambulizi kutoka kwa ...
Mwanaume aliyeingia katika dunia ya kufanya ngono huku akiwa amelewa (chemsex), ameeleza jinsi alivyogeuka kuwa "zombi" na maisha yake yalikuwa yakiharibika polepole. Chris - jina lake ...
BODI ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imefanya ziara maalumu Songo Songo Mkoani Lindi kujionea hali ya miundombonu ya uzalishaji, uchakataji wa gesi asilia, na ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Umoja wa Mataifa António Guterres amepongeza ripoti ya kwamba Rais Donald Trump wa Marekani na Rais Vladimir Putin wa Urusi kuhusu kusitisha mashambulizi dhidi ya miundombinu ...
Kampuni ya LG Electronics (LG) Afrika Mashariki leo imezindua chumba chake cha kwanza (showroom) cha maonyesho maalum kwa viyoyozi vya kibiashara (CAC) kwenye chumba cha maonyesho cha Mohamed ...
Njia hiyo ya reli inayofahamika kama Tazara, inatarajiwa kuwa njia kuu ya usafirishaji madini hasa ya shaba na Kobalt katika mataifa ya kusini mwa Afrika. Mwaka jana China ilitia saini kandarasi ...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz amethibitisha katika taarifa yake kwamba lengo la shambulio hilo ni Ismail Barhoum, ambaye alikuwa akitibiwa katika Hospitali ya Nasser "baada ya kujeruhiwa ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeelekeza rufaa dhidi ya Kocha Liston Katabazi aliyoikata dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), akipinga uamuzi Mahakama ya ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果