Kamati ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa uchumi wa Taifa unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza kuwa Shilingi ya Tanzania inatarajia kuimarika ifikapo mwishoni mwa waka huu kutokana na ...
Ili kukuza uchumi wa kidijitali, Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti kwa kusaini makubaliano (MoU) ya ...
Aidha, amesema chama kinaposema bila ya mabadiliko hakuna uchaguzi (No Reform no election) kauli hiyo sio kwa Tanzania bara pekee bali itafanyakazi mpaka Zanzibar ambapo mabadiliko makubwa ya uchaguzi ...
Shura ya Maimamu nchini Tanzania imetoa wito kwa Rais Samia Suluhu Hassan, kuitisha tena mkutano na wadau wa vyama vya siasa ...
Eid al-Fitr ni moja ya sikukuu muhimu zaidi ya kidini kwa Waislamu duniani kote, ikiashiria mwisho wa mwezi mtukufu wa ...
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeendelea kung’ara katika ulingo wa mawasiliano na uhusiano wa umma baada ya ...
JESHI la Polisi nchini limetenga siku 14 kwa ajili ya mpango maalum wa kukutana na kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ya ...
ALIKUWEPO kipa mpya katika macho ya Watanzania walio wengi katika pambano la Morocco dhidi ya Taifa Stars pale Oujda, ...
KILA dirisha la usajili, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ ni lazima azue mjadala hapa kijiweni maana haliwezi kupita bila ...
MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kuwasha Mwenge wa Uhuru Kibaha mkoani Pwani. Dk Mpango anatarajiwa kuwasha ...