Sudan imetangaza kusitisha uingizwaji wa bidhaa zote kutoka Kenya, baada ya nchi hiyo jirani mwezi Februari kutoa jukwaa kwa ...
Serikali ya Sudan imeikosoa vikali Kenya kwa kuwa mwenyeji wa utiaji saini wa mkataba wa kisiasa kati ya wanamgambo wa RSF na washirika wao, mkataba unaolenga kuunda serikali mbadala katika maeneo ...
Ijumaa iliyopita, Zelensky na Trump walizozana hadharani katika Ikulu ya White House - ambapo Trump alisema Zelensky hakuwa ...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman na Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu wanadaiwa kuzuiwa kuingia ...
Sudan ilitumbukia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe mnamo Aprili 2023 baada ya kuzuka kwa mapigano kati ya jeshi la nchi hiyo na kikosi cha wanamgambo cha RSF. Tutumie maoni yako Mrejesho wako ...
Katika hatua madhubuti za kukabiliana na changamoto za maji AMCOS walitoa wito wa kuendelea kushirikiana, kuhamasisha ...
Orodha ina marefa 17 wa kati, 18 wa pembeni na 10 ambao wataongoza teknolojia ya video ya usaidizi kwa marefa (VAR).
Makamu wa Rais,Dk Philip Mpango amesema kuwa matumizi ya nishati katika Bara la Afrika hasa Kusini mwa Jangwa la Sahara bado ...
Mawaziri wa Maji kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki wamekubaliana kuwa na takwimu za pamoja kuhusu upatikanaji wa maji chini ...
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango ametoa wito wa kuimarishwa ushirikiano zaidi kwa Mataifa ya Afrika Mashariki ili kuweza ...
Baada ya kuiongoza Taifa Stars kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2024, kibarua kilicho mbele ya kaimu kocha mkuu wa ...