资讯

Baada ya mazungumzo ya timu za Simba na Yanga, serikali imesema kuwa imepanga kuzungumza na wadhamini wa Ligi Kuu kuhusu ...
Kufuzu kwa Simba nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuitoa Al Masry kwa mikwaju ya penalti 4-1, kunamaliza ...
BEKI wa zamani wa Mtibwa Sugar, Yanga na Singida Big Stars, Juma Abdul ameitaja 5-Bora ya washambuliaji aliowashudia ubora ...
LEJENDI wa Manchester United, Roy Keane amemkosoa vikali kapteni wa timu hiyo, Bruno Fernandes kutokana na mahojiano ...
NYOTA wa Tabora United, Offen Chikola amekiri ameanza kupata shaka ya kutimiza ndoto zake za kufunga mabao 10 msimu huu ili ...
KOCHA wa Barcelona, Hansi Flick anaonekana kubadilisha falsafa ya timu hiyo kutoka kumiliki mpira muda wote hadi kupenda ...
MAAFANDE wa JKT Tanzania, wapo katika nafasi ya saba kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara wakikusanya pointi 32 kupitia mechi 25, ...
ALIYEKUWA kocha mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo amesema ni heshima kubwa kupata nafasi ya kuifundisha timu ya taifa ya Libya, ...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), hutaka angalau kuwe na saa 72 za wachezaji kupumzika, kutoka mechi moja hadi nyingine ...
Bao moja ambalo Saimon Msuva ameifungia timu yake ya Al Talaba dhidi ya Al Karma juzi kwenye Ligi Kuu ya Iraq, limemfanya ...
INTER Miami inatamani sana kumsajili kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ubelgiji, Kevin de Bruyne, 33, katika ...
JUMAPILI iliyopita, Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim alimpumzisha kipa wake, Andre Onana baada ya kufanya makosa ...