Siku chache baada ya chama tawala nchini Uganda, NRM kutangaza kuyakataa matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye eneo la ...
Shirika la wanahabari wasio na mipaka RSF katika taarifa yake limethibitisha kwamba wanahabari 18 nchini Uganda ...
Machi 17, 2025 imetimia miaka minne tangu John Pombe Magufuli, rais wa tano wa Tanzania afariki dunia. Alikuwa mmoja ya ...
Umuryango w'Ubumwe bw'Uburayi uvuga ko babujijwe gukora ingendo mu bihugu biwugize ndetse ko n'imitungo yabo yafatiriwe.
Mwanamuziki Jose Chameleone ametoa shukrani kwa mashabiki wake, marafiki, na serikali ya Uganda kwa kumuunga mkono na kuwa pamoja naye wakati akipambania afya yake .
Shinikizo lakisiasa lina ongezeka kwa chama cha Labor kiache makubaliano ya AUKUS, ambayo kupitia makubaliano hayo Australia ...
Besigye, mwenye umri wa miaka 68, ambaye ni mpinzani na mkosoaji wa muda mrefu wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, alionekana mahakamani katika mji mkuu wa Kampala akiwa dhaifu kwenye kiti mwendo.
Kwa hisia za mkewe, Besigye anashikiliwa kwenye mazingira duni akisema kuwa. Lawama nyingi kuhusu yanayomsibu Besigye, yanaelekezwa kwa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni na serikali yake, mara kadhaa ...
Mmoja kati ya wake za kiongozi wa kundi la waasi LRA Joseph Kony pamoja na watoto wake watatu wamewasili Uganda kutoka nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati usiku wa mkesha wa Jumatano. Kurudi kwao ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果