Salma Shija Masanja (47) mkulima kiongozi katika Kijiji cha Bungi mkoa wa Kusini Unguja, anasema licha ya kulima kilimo mseto eneo analolima si lake. Anasema ameazimwa hivyo huishia kulima mazao ya ...
Vilevile katika wajihi huo wa maendeleo, Rupia anasema shule zote zimebuni bustani za mboga na mashamba ya kulima mazao ya chakula. Utaratibu uliopo, ni kwamba asubuhi wanafunzi hupatiwa kifungua ...