Mambo mengi ya kujifurahisha yanaendana vyema na maisha ya kujitenga, kama vile kusoma, kulima bustani, matembezi, kusikiliza muziki, kupika, na kufanya aina mbalimbali za kazi za mikono.
Salma Shija Masanja (47) mkulima kiongozi katika Kijiji cha Bungi mkoa wa Kusini Unguja, anasema licha ya kulima kilimo mseto eneo analolima si lake. Anasema ameazimwa hivyo huishia kulima mazao ya ...
Vilevile katika wajihi huo wa maendeleo, Rupia anasema shule zote zimebuni bustani za mboga na mashamba ya kulima mazao ya chakula. Utaratibu uliopo, ni kwamba asubuhi wanafunzi hupatiwa kifungua ...
Kwa mujibu wa maelezo ya wananchi hao, raia wengi kutoka Rwanda wamekuwa wakiingia katika vijiji vya mpakani na kutumia mbinu mbalimbali kuhalalisha uwepo wao, ikiwa ni pamoja na kulima kwa muda mrefu ...
“Kutokana na juhudi hizo, wananchi wengi wameachana na kilimo cha mirungi na kuanza kulima mazao mbadala, japo wapo wananchi wachache waliokaidi na kuendelea na kilimo na biashara ya mirungi.” ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果