Miongoni mwa ushahidi uliomtia hatiani ni pamoja na kukiri kumuua baba yake na mama yake wa kambo kwa kuwakata na panga kutokana na mgogoro wa ardhi, kwa madai kuwa baba yake alimzuia kulima shamba ...
Amesema kuwa baraza hilo linawataka wanachi wa Missenyi kila kaya kuwa na miche ya kahawa angalau 20 hadi 30 huku akimtaka mkurugenzi wa halmashauri hiyo kuanza kutenga maeneo Kwa ajili ya vijana na ...